Waziri azungumzia mamlaka ya fedha za jimbo Waziri Waitara. Wakurugenzi wa Halmashauri nchini wametakiwa kutotumia fedha za mfuko wa jimbo bila idhini ya mwenyekiti wa mfuko huo ambaye ni Mbunge. Read more about Waziri azungumzia mamlaka ya fedha za jimbo