NEC yatoa neno wanaolalamikia chaguzi za marudio
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia amewataka Watanzania kuacha kulalamika juu ya Serikali kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi wa marudio, akisema suala hilo ni kwa mujibu wa Katiba.