Vita ya 31 kwa Azam na Simba tofauti yao ni 1 tu Kushoto ni John Bocco na kulia ni Salum Abubakar Sure Boys Kuelekea mchezo wa Ligi kuu soka Tanzania bara kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC leo Mei 13, 2019, timu hizo zinatawaliwa na rekodi mbalimbali lakini kubwa ni katika mechi za ligi kuu. Read more about Vita ya 31 kwa Azam na Simba tofauti yao ni 1 tu