"Nililia nilivyopata mtoto wa kiume" - Tiwa Savage
Picha ya Tiwa Savage akiwa na mtoto wake
Malkia wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria Tiwa Savage, anasema alilia sana alivyojifungua mtoto wa kiume sababu matarajio yake ilikuwa apate mtoto wa kike kwanza.