Yanga waeleza sababu ya Makambo kuondoka Heritier Makambo Vinara wa ligi kuu soka Tanzania bara klabu ya Yanga kupitia kwa msemaji wake Dismas Ten, imetoa ufafanuzi wa taarifa za kuondoka kwa mshambuliaji wao Heritier Makambo. Read more about Yanga waeleza sababu ya Makambo kuondoka