Zahera ataja makombe mawili anayoyataka Yanga Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera (katikati). Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameweka wazi makombe ambayo ni vipaumbele kwake na klabu huku katika hayo akiiondoa Mapinduzi Cup na ameeleza kuwa hatopeleka kikosi cha kwanza kwenye michuano hiyo. Read more about Zahera ataja makombe mawili anayoyataka Yanga