Anayedaiwa kumuua mpenzi wake ajinyonga
Wilbert Kamata Yona (34), mfanyakazi wa Kiwanda cha Ziwa Steel na mkazi wa Kata ya Ihayabuyaga, anadaiwa kumuua mpenzi wake Marietha Benjamini Kalafala (33), mfanyakazi wa kiwanda hicho hicho na mkazi wa Mwabuyi, kwa kumchoma kwa kitu chenye ncha kali kisha baadaye kujinyonga.

