AY azungumzia kuacha muziki AY akiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio. Msanii mkongwe wa Hip-hop nchini, Ambwene Yessayah (A.Y) amefunguka kuwa kwa sasa hawezi sema ni lini ataachana na muziki mpaka pale muda utaporuhusu yeye kufanya hivyo. Read more about AY azungumzia kuacha muziki