Mbabane Swallows waweka wazi wanachojivunia

Kikosi cha Mbabane Swallows

Klabu ya soka ya Mbabane Swallows, imesema inajivunia kuja kucheza tena hapa Tanzania, ikiwa ni mara yao ya pili baada ya Machi 12, 2017 kucheza na Azam FC na kufungwa bao 1-0, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS