Jinsi Liverpool ilivyokataa uteja kwa Barcelona
Imejulikana kuwa klabu ya Barcelona imepewa masharti ya kutosajili mchezaji yoyote kutoka klabu ya Liverpool kwa miaka mitatu kutokana na makubaliano yaliyofanywa wakati Philippe Coutinho alipohama kutoka Anfield kwenda Camp Nou mapema mwaka huu.