Binti wa miaka 22 anyanyaswa kingono uwanjani
Binti ambaye ni shabiki wa mchezo wa soka nchini Ujerumani ameripoti polisi tukio la kunyanyaswa kingono akiwa kwenye uwanja wa Veltins wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Ujerumani 'Bundesliga' kati ya wenyeji Schalke 04 dhidi ya FC Nürnberg.