Rais Magufuli awageukia wachonganishi wa nchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka mawaziri wake kujenga tabia ya kutembeleana na mawaziri wa Kenya kwa ajili ya kupatiana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ili kuinua uchumi wa nchi hizo mbili.