Zana Coulibaly wa Simba aguswa na ushindi

Mashabiki wa Simba na Zana Coulibaly

Baada ya beki mpya wa Simba, Zana Coulibaly kutua nchini jana na kufanikiwa kutazama mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika kati ya timu yake mpya ya Simba dhidi ya Mbabane Swallows, ameweka wazi kuwa kiwango cha Simba ni kikubwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS