Milioni 50 kanipa mimi, kwanini mnamsemea? - Karia

Rais Magufuli akikabidhi Sh milioni 50 kwa uongozi wa TFF

Uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umewataka mashabiki na wadau wa soka nchini Tanzania kuacha kumsemea Rais John Magufuli kuhusu milioni 50 alizotoa kwa ajili ya maandalizi ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS