Mbunge amzuia Mbunge CUF kwa saa 4 kuhamia CCM
Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Selemani Bungara “Bwege” amefunguka juu ya mazungumzo yake na Mbunge wa Tandahimba Katani Katani yalivyopelekea mbunge mwenzake kubadilisha msimamo wa kuhamia Chama Cha Mapinduzi.