BOT yatoa utaratibu wa kubadilisha fedha Benki Kuu ya Tanzania. Benki Kuu ya Tanzania imewataka wakazi wa Jiji la Arusha kuanza kutumia huduma za kubadilisha fedha za kigeni kwenye maeneo ambayo yanatambulika kisheria ambayo yameainishwa kwenye taratibu za benki kuu. Read more about BOT yatoa utaratibu wa kubadilisha fedha