Bocco atofautiana na kocha Patrick Aussems

John Bocco kushoto na kocha Patrick Aussems.

Klabu ya soka ya Simba kupitia kwa nahodha wake, John Bocco, imeeleza kuwa matokeo ya suluhu na Lipuli FC hayakuwa matokeo waliyoyatarajia bali walijitahidi kutengeneza nafasi lakini hawakuzitumia vizuri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS