Waziri awapa mchongo Watanzania
Imebainika kuwa malighafi nyingi zinazozalishwa kwa ajili ya viwanda nchini zinatokana na sekta ya kilimo ambayo inategemewa na watanzania kwa zaidi ya asilimia 75, hivyo kuna uhitaji mkubwa wa watanzania kujikita kuzalisha malighafi zitokanazo na kilimo.