Wakulima waandamana, Serikali kununua korosho 3300
Baadhi ya wakulima walioandamana wakiwa na mabango.
Wakulima wa zao la korosho katika wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma wamelazimika kufanya maandamano maalum kwa lengo kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.