''Nilifungiwa mwaka mmoja na baba'' - Drogba
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba ameweka wazi kuwa aliwahi kuzuiliwa kucheza mpira kwa mwaka mmoja na baba yake mzazi, mzee Albert Drogba ili ajikite zaidi kwenye elimu.