Mchezo mpya wa Supa Tano wazinduliwa Tanzania

Kampuni ya The Network inayosimamia michezo ya namba nchini Tanzania leo imezindua mchezo wa namba ujulikanao kama Supa Tano ambapo mshindi anaweza kushinda hadi milioni10,000,000/- kila baada ya dakika 10.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS