Magufuli ataja kilichomvutia kwa Askofu Chengula
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameshiriki ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Askofu Kanisa Katoliki wa Jimbo la Mbeya, Askofu Evarist Chengula na kusema kiongozi huyo alikuwa moja ya watu mahiri nchini