Museveni awatuma vijana wake kuimaliza Tanzania Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, ameibua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya kuwataka vijana wake wanaocheza timu ya The Cranes kuifunga Tanzania kwenye mechi ijayo ya fainali za kufuzu AFCON. Read more about Museveni awatuma vijana wake kuimaliza Tanzania