Mchezaji wa Washington Wizard agombana na kocha
Mchezaji maarufu (Point Guard) wa Washington Wizard inayoshiriki ligi ya kikapu nchini Marekani NBA, John Wall ameingia katika matatizo na uongozi wa klabu yake baada ya kumtolea lugha chafu kocha wake, Scott Brook.