Mbunge aliyegoma kuhamia CCM adai kuvunjwa mkono
Mbunge wa Chama Cha Wananchi CUF Katani Ahmed Katani, ameendelea kueleza msimamo wake wa kutohama Chama Chake wananchi CUF, kwa kile alichokidai yeye ni miongoni mwa waathirika wakubwa wa utawala wa Chama Cha Mapinduzi.