Spika Ndugai ataja mawaziri watoro bungeni Spika wa Bunge, Job Ndugai Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewataja mawaziri watano wenye mahudhurio hafifu Bungeni na kwenye kamati mbalimbali za Bunge hilo. Read more about Spika Ndugai ataja mawaziri watoro bungeni