Kazi yenu kufurahi kwenye nchi ya Magufuli -Waziri
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola, amefanya ukaguzi wa kituo cha polisi Chang’ombe Mkoa wa kipolisi wa Temeka na kumtaka Mkuu wa Kituo hicho kufanya operesheni maalum ya kuwatoa watuhumiwa ambao wamekaa mahabusu kinyume na sheria.