Daktari feki afanyia mtu upasuaji Dodoma
Jeshi la polisi mkoani Dodoma linamshikilia Hassan Abdalah mkazi wa Wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro kwa tuhuma za kutoa huduma za afya ikiwemo matibabu na upasuaji bila kuwa na cheti cha taaluma ya udaktari.