CHADEMA yaita wanachama wake nchi nzima
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimewataka wanachama wake nchi nzima kufika mahakamani wakati kesi inayowakabili viongozi wake watano itakapounguruma ili wajionee uendeshwaji wa kesi na kuamua kwa pamaoja nini cha kufanya.