Wananchi Lowe walia ukosefu wa daraja la uhakikA Kwa mujibu wa wananchi hao, Kivuko kinachotumika kwa sasa kimejengwa kwa nguvu za wananchi bila kuzingatia viwango sahihi, hali inayowaweka hatarini watumiaji wake hususan kipindi cha mvua. Read more about Wananchi Lowe walia ukosefu wa daraja la uhakikA