Dereva wa lori kutoka Kigali adakwa kwa ulevi
Mtuhumiwa huyo amekamatwa katika eneo la Kihonda Kwachambo, barabara kuu ya Morogoro–Dodoma, ambapo polisi walilazimika kumzuia kuendelea na safari kwa ajili ya usalama huku kipimo kikionyesha ulevi wa 171.7mg/100ml.

