Matukio matatu ya vifo yachunguzwa na polisi Jeshi la Polisi nchini linafanya uchunguzi wa matukio matatu ya vifo vilivyotokea kwa nyakati tofauti likiwemo lile la Tarime/Rorya mkoani Mara, Jijini Arusha pamoja na Rufiji mkoani Pwani. Read more about Matukio matatu ya vifo yachunguzwa na polisi