Himid Mao awatadharisha Yanga kwa hili
Nahodha wa klabu ya Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC Himid Mao amesema mechi ya leo dhidi ya Yanga SC haitaweza kuwa rahisi kama wanavyofikilia kwa madai hawawezi kumkaribisha mtu kwao halafu akatoka salama.