''Neymar anapendwa na mashabiki'' Kocha wa Paris Saint-Germain Unai Emery amesema nyota wa timu hiyo Mbrazil Neymar jr anapendwa na mashabiki wa timu hiyo tofauti na watu wanavyosema kuwa mashabiki wanamzomea. Read more about ''Neymar anapendwa na mashabiki''