Rais Magufuli atuma salamu Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahimu Juma kufuatia kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mh. Robert Kisanga kilichotokea tarehe 23, Januari mwaka huu. Read more about Rais Magufuli atuma salamu