''Sijutii kuwadiss wasanii wakubwa'' Msanii wa Bongo Fleva anayechipukia Edu Boy amezua tafrani baada ya kuendelea na kazi ya 'ku-diss' wasanii wenzake wakiwemo wenye majina makubwa baada ya kufanya hivyo tena kwenye ngoma yake mpya 'Tunasafisha'. Read more about ''Sijutii kuwadiss wasanii wakubwa''