Maamuzi ya Lwandamina kwa Tambwe

Baada ya msemaji wa klabu ya Yanga Dismas Ten hapo jana kusema mshambuliaji wa timu hiyo Amissi Tambwe amepona na kinachosubiriwa ni mamuzi ya kocha George Lwandamina, kocha huyo ameamua kumuanzisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS