Simba wanacheza uwanja wowote Baada ya serikali kutoa ruhusa ya vilabu vya Simba na Yanga kuanza kutumia uwanja wa Taifa kwenye baadhi ya mechi zao za Ligi Kuu, kwa upande wa Simba wao wamesema wanauwezo wa kucheza uwanja wowote. Read more about Simba wanacheza uwanja wowote