Skendo yamkaba koo Man Fongo Msanii wa Hip hop 'Ben Gang' amemjia juu msanii anayefanya vizuri kwenye Singeli, Man Fongo baada ya kuchukua melody pamoja na mashairi ya wimbo wake kisha kuuachia kama ngoma yake. Read more about Skendo yamkaba koo Man Fongo