Belle ashangazwa kufananishwa na Roma
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Abernego Damiani maarufu kama 'Belle9' ambaye anatamba na wimbo wake mpya 'Mfalme' ameshangazwa na BASATA kushindwa kulitambua jina lake na kudai kitendo hicho hakina tofauti na baba asiyejua majina ya watoto wake.

