Serikali yatoa Bilioni 1.92
Serikali imepeleka shilingi bilioni 1.92 katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba wilayani Mtwara kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa vituo vya afya na kuwasisitizia watendaji kutobadilisha matumizi ya fedha hizo wazipatapo.

