Polisi aliyeua kwenye maandamano ahukumiwa maisha Mahakama ya kijeshi nchini Kongo imemfunga kifungo cha maisha jela ofisa wa polisi aliyemuua kwa kumpiga risasi mshiriki wa maandamano ya kumpinga Rais Joseph Kabila. Read more about Polisi aliyeua kwenye maandamano ahukumiwa maisha