Azam FC yachukua tahadhari Klabu ya soka ya Azam FC kupitia kwa kocha wake msaidizi Idd Cheche imesema itaingia kwa tahadhari kwenye mchezo wao wa raudni ya 20 ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Singida United. Read more about Azam FC yachukua tahadhari