'Lau nafasi' yamponza Man Fongo

Msanii wa miondoko ya singeli Man Fongo amefunguka na kusema yupo teyari hata kupelekwa Mahakamani kujibu mashtaka ya kutumia kazi ya wanamuziki wa zamani wa 'Kilwa Jazz Band' kwa madai lengo la kutumia wimbo wao ni kutaka kuufikisha mbali singeli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS