Serikali yawapa onyo wazazi

Serikali ya Tanzania imesema itawachukulia hatua wazazi watakaobainika kuwaweka watoto wenye ulemavu ndani badala ya kuwapeleka shule kusoma kwa ajili ya kushiriki katika ujenzi wa taifa kwa namna moja au nyingine hapo baadae.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS