Tanzania, Msumbiji watiliana saini Tanzania na Msumbiji leo zimekubaliana kuendesha msako wa pamoja dhidi ya makundi ya wahalifu ikiwemo wale wanaojihusisha na vitendo vya ujangili katika maeneo ya mipakani. Read more about Tanzania, Msumbiji watiliana saini