Sugu kizimbani tena leo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya leo inatarajia kusoma hukumu ya kesi ya kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais Magufuli, ambayo inayowakabili Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi 'Sugu' na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyassa, Emmanuel Masonga

