Jokate awapa 'mchongo' watanzania

Mwanamitindo Jokate Mwegelo amefunguka na kuitaka jamii ya kitanzania na wengineo kuacha tabia ya kukata tamaa katika mambo wanayopanga kuyafanya kwani kitendo hicho kinaweza kupelekea kuumiza walioko nyuma yao bila ya wao kutegemea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS