"Mnatakiwa myatatue nyinyi, yasifike kwetu"- JPM Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta wamewaagiza Mawaziri wa Tanzania na Kenya kutatua tofauti ndogondogo zinazojitokeza katika biashara kati ya nchi hizo mbili. Read more about "Mnatakiwa myatatue nyinyi, yasifike kwetu"- JPM