Yanga SC hakuna kulala Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga inatarajiwa kuunganisha kesho asubuhi kwenda mjini Songea kucheza na Majimaji FC ikiwa ni siku moja tu tangu itue kutoka nchini Shelisheli. Read more about Yanga SC hakuna kulala